Dini ni mfumo wa maishani

Dini ni mfumo wa maishani

Saturday, September 4, 2010

Siri ya Kimada Yafichuka



Mmoja wa wachimba madini wa nchini Chile ambao wamenasa mita 700 chini ya ardhi baada ya mgodi wa dhahabu waliokuwemo kuporomoka, ana kesi kubwa ya kujibu nyumbani akifanikiwa kutoka salama kwenye migodi hiyo baada ya mkewe kukutana na kimada wake kw
Mchimba madini wa nchini Chile ambaye amenasa mita 700 chini ya ardhi pamoja na wenzake 32, ana kesi kubwa ya kujibu akitoka salama kwenye migodi hiyo baada ya mkewe kukutana na kimada wake kwenye migodi hiyo.

Taarifa zilisema kuwa mke wa mchimba madini Yonni Barrios alihuzunika baada ya kugundua kuwa mumewe ana kimada na kimada huyo amekuwa akijitangaza kama jamaa wa karibu wa Barrios.

Mke wa Barrios anayeitwa Marta Silanas alisema kuwa alishtushwa sana baada ya kumsikia kimada wa mume wake, Susana Valenzuela akiliita jina la mumewe kwa sauti.

"Barrios ni mume wangu, ananipenda na mimi ni mke wake wa ndoa, huyu mwanamke hatambuliki kisheria", alisikika akisema Marta.

Lakini Susana naye hakukaa kimya, alijibu kuwa alikutana na Barrios miaka mitano iliyopita na wana mpango wa kufunga ndoa baada ya Barrios kuahidi atampa talaka mkewe ili wawe pamoja.

Susana alisisitiza kuwa ataendelea kumsubiria Barrios amuache mkewe.

Barrios na wenzake wamenasa mita 700 chini ya ardhi baada ya mgodi waliokuwemo kuporomoka, wataendelea kukaa huko chini kwa miezi minne zaidi wakati jitihada za kuwaokoa zitakapokamilika.

Kwa sasa wanatumiwa chakula, maji na madawa kupitia mashimo matatu madogo yaliyochimbwa ili kuwapitishia vitu hivyo kwa kupitia kwenye mabomba.

Barrios ni mtu muhimu sana miongoni mwa wachimba madini hao kwani yeye ndiye amekuwa akiwatibu wenzake kutokana na mafunzo ya huduma ya kwanza aliyochukua zamani.






In islam is sex outside of a marriage forgiven? please help?
is sex outside of marriage forgiven?

as in sex before marriage not cheating

i have done many wrongs and i'm horrified i'm going to hell ... most of my wrongs cannot be righted so don't tell me to fix it cause i cant i've lied been rude to my elders and had sex before marriage, even if ALLAH does forgive me. im only 22 im certain ill make many more mistakes as i am imperfect im very afraid ... what can i do to make up for some of my sins ?


Best Answer - Chosen by Voters
Allah's forgiveness is very wide.

As you have repented sincerely,
-don't tell anybody of these bad sins you committed,
-Always keep you prayers and ask Allah his forgiveness.
-try to have good friends who help you get closer to Allah.

By the way, if you sincerely repent from a sin and feel sorrow whenever you remember it, this could be your way to Paradise.





Mtoa Maoni:

Hii habari toka tuanze kusikia wanapelekewa chakula tu hatujasikia wakishakula wanakitolea wapi? MoMs chunga mtumbwi ukizama kisitokee kimada kipya kikadai na yeye mke wa ndoa maana hawa vimada wapya a.k.a new prostitute (n.p) wanafujo sana mara kwa JOSE akikataliwa anaenda kwa JAMROCK kimada anamuombea mwenziwe achwe ili aolewe yeye anasahau akitokea kimada mwengine na yeye ataachwa pia kila siku bidha mpya zinatoka


Mtoa Maoni:

Hii ni kali, lakini bora iwe salama


Mtoa Maoni:

Hapa jamaa akisikia huko mgodini sidhani kama atakubali kutoka ataomba aishi huko tu

Hapa ndio utaona wengi walioko kwenye ndoa si waaminifu na hii huja kujulikana pale kunapotokea tatizo kama msiba ndio usikia kila moja analia wakiulizana ndio hugundua kuwa walikuwa wanakula nyumba mmoja na hapo hata watoto huibuka
WALIOKO KWENYE NDOA HESHIMUNI NDOA ZENU ACHANENI NA NYUMBA NDOGO
UBUGUVU usisingizie Mzungu wako sio hot bana baki nae huyo ndio uliyempenda kama mimi nitakavyompenda Grady


Mtoa Maoni:

Huyu Jamaa mke mmoja hakumtosha ikabidi aende nje! au tuseme ana tamaa na pepo wa ngono! Pia Wanawake wanaodai kudhalilishwa na wanaume mara nyingi si wakweli! kesi ya kuwa na kimada au mke mwenza ni Kosa la mwanamke wa pili kabla ya kuwa la mme! iweje wewe mwanamke ukubali kuolewa na mme mwenye mke kama sio kumtakia mabaya mwenzio? Ndio nasema hivi ni vita vya panzi na kunguru ana haki ya kujipatia RIZIKI, wanawake jiulizeni kbala kukimbilia kudai haki hewa huku nyie wenyewe mnazivunja.

No comments:

Post a Comment