Dini ni mfumo wa maishani

Dini ni mfumo wa maishani

Wednesday, September 8, 2010

Ashton ashtumu kuchomwa Quran




BRUSSELS

Mkuu wa sera za Nje za Umoja wa Ulaya, Catherine Ashton amesema Umoja huo unalaani mpango wa kuchomwa moto kwa nakala za Quran tukufu katika jimbo la Florida, Marekani, uliotangazwa na kanisa moja nchini humo linaloongozwa na mchungaji Terry Jones. Mchungaji huyo anadai hilo litafanyika kama kumbukumbu ya mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11.

Kulingana na msemaji wa Bibi Ashton, Mkuu huyo wa sera za nje alisema anaheshimu imani zote za kidini na kwamba huu sio muelekeo unaofaa. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton pia ameshtumu hatua hiyo, huku Ikulu ya Marekani ikionya kwamba hili huenda likazusha hasira kali kutoka Ulimwengu wa Kiislamu na pia kuhatarisha maisha ya wanajeshi wa Marekani.



Every right or wrong sect, every good or bad association and every benevolent or evil party has its ideological principles and believing issues that limit its goals and lead its working method and it become as constitutions for its members and followers


If a Muslim neglected or ignored any obligation or commit any forbidden thing then he/she repented and asked God forgiveness God will forgive them, if he/she does not repent he/she is still a Muslim (if he/she still believe in them) but he/she is considered a disobedient person deserve punishment on the day of judgment and it is a temporary punishment under God’s will.

But if a Muslim deny some principle beliefs, an obligation or forbidden deeds or has doubt on them that will be a retreat from Islam and that is a big sin and a crime similar to a great betray in modern time laws, death is its punishment if he/she does not repent.

A hypocrite is a person who converts to Islam orally and performs worshipping but he really does not believe in Islam and does that to spy on Muslims and ruins their belief
This will be punished by God in the day of judgment by sending him/her to so far down the Hellfire because God knows all the secrets in human hearts

No comments:

Post a Comment