Dini ni mfumo wa maishani
Thursday, April 7, 2011
MUELEKEO WA DUNIA MAISHANI
MUNGU ALIUMBA MBINGU NA ARTH KISHA AKAUMBA VIUMBE WENGI WENYE KUISHI KATIKA MFUMO WA UHAI. KILA KIUMBE KINAHAKI YA KUISHI NDANI YA DUNIA HII. BINADAMU AMEPEWA SIFA KUBWA YA KUONGOZA, MATUMIZI, KUMILIKI, KUOA,UNDUGU, UJAMA ……NA…..VYOTE VILIVYOMO DUNIANI.
UHARIBIFU WA UBORA WA DUNIA UNATEGEMEANA NA MATUMIZI YA BINADAMU JUU YA VIUMBE (WATU, ARDHI, MIMEA, MADINI, MAJI, MAFUTA, NDEGE, WADUDU……..N.K).
MFANO 1:
VITA:
KWASASA BINADAMU WENGI WANAISHI KATIKA WAKATI WA VITA. VITA VIPO AINA NYINGI SANA,
MOJAWAPO NI:
VITA VYA KUFIKIRI.
KUFIKIRI UNACHOKIWEZA NIVYEMA ZAIDI. UKITUMIA FIKIRA YENYE UPUNGUFU AU UKOSEFU WA UKWELI, UTAJIKUTA KATIKA HALI NGUMU YA MSONGAMANO WA MAWAZO. JITAHIDI KUTAFAKARI, UMUHIMU, FAIDA NA HASARA YA KILE UKIANACHO, UKISIKIACHO, UAMBIWACHO, UKILACHO, UKITUMIACHO, UKIPENDACHO AU UAMBIWACHO NA YULE MPENZI WAKO AU MSHAURI WAKO MAISHANI.
UMUHIMU, FAIDA NA HASARA JUU YAKILE UKIONACHO, UKISIKIACHO, LADHA AU HARUFU, NI MKUBWA NA NI MUONGOZO WA NAFSI YAKO MAISHANI.KINYUME CHAKE NI MAUMIVU NA KUSEMA”NINGELIJUA”SIO TIBA.
VITA VYA DAMU:
DAMU NI KIUNGO CHENYE KUENDESHA UHAI WA MAISHA YA WANYAMA, NDEGE……BILA KUMSAHAU BINADAMU. UPUNGUFU WA DAMU MWILINI, KUNAPUNGUZA UTENDAJI WA KAZI WA SELI ZA MWILI. SELI ZA MWILI NDIO MSINGI WA MAISHA YA BINADAMU.
INAMANA ULINZI WA SELI NI MWILI KUWA NA DAMU SAFI NAYENYE KUKIDHI MAHITAJI.
MFANO 2:
HOSIPITALI WANAHITAJI DAMU YA KUONGEZEA WAGONJWA WENYE UPUNGUFU WA DAMU.
KUMBUKA KWAMBA HAKUNA KIWANDA, SHAMBA, MTO AU UZALISHAJI WA AINA YEYOTE YA DAMU.
KINACHOFANYIKA NI KUMTAFUTA MTU MWENYE UHUSIANO (BLOODGROUP) WA DAMU NA KISHA KUTOLEWA(DAMU) KIASI FULANI CHA DAMU NA KUMPA (KUMUONGEZEA MGONJWA) MHUSIKA.
VITA VYA VIFO:
KILA KIFO KINAWAKATI WAKE, LAKINI KUNA VIFO VINGINE, HULETA MASHAKA NDANI YA NYOYO ZA BINADAMU. KUNA AINA NYINGI ZA VIFO,
MOJAWAPO NI:
KUUMWA: KUNA VIFO VYENYE SABABU YA MWILI KUUMWA (NJAA, KIU, TIBI, SHINDIKIZO LA DAMU, UKIMWI, AU UTAPIA MLO).
NA KUNA VIFO VINGINE VINAVYOTOKANA NA MASHAMBULIZI YA UHASAMA BAINA YA BINADAMU.
KWASASA BINADAMU WANAUWANA KATIKA MFUMO WA PESA, MALI, MAPENZI, UDINI, MADINI, MAFUTA, MASHAMBA.
KUTOKANA NA VITA KUENDELEA , KUANZIA DANI YA FAMILIA NA KOO NYINGI ZA BINADAMU, TUMEJIKUTA (BINADAMU) KATIKA MFUMO WA KUONA KIFO NI HAKI YETU, BILAKUJALI KUONEWA AU KUONEANA.
MFANO 3:
VITA VYA KIFAMILIA VINAENDELEA KUWA NA NAFASI KUBWA MAISHANI. TUNASIKIA BABA, MAMA, MTOTO, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI, WANAUWANA! HILI NIJAMBO LAKUSIKITISHA NA NI ISHARA YA KUISHA KWA AMANI DUNIANI.
VITA VYA KIKABILA:
TUNAMIFANO KUANZIA NCHI YA RWANDA.
RWANDA INA MAKABILA MATATU(WATUSI,WATWA NA WAHUTU), LAKINI YANASIFIKA KWA MAKABILA MAWILI(WAHUTU NA WATUSI) TU. KWA NINI YASIKIKE MAKABILA HAYO MAWILITU?
NI KWASABABU YA UHASAMA ULIPO BAINA YA WATUSI NA WAHUTU. WATUSI NA WAHUTU KILA MMOJA ANASIFA YAKE NA ANA UPUNGUFU WAKE. WANASIASA WASOMI WALIJENGA MFUMO WAKUWATAWALA WANYARWANDA KATIKA MFUMO WA KIKABILA NAKUWAPELEKEA KUINGIA KATIKA JANGA LA MAUWAJI YENYE MIAKA 1959 NA 1994. MIAKA HII ILIWEZA KUWAUWA WANYARWANDA ZAIDI YA MILIONI MBILI(VIFO VYA WATU 2,000,000).
KENYA NA VITA YA UKABILA
KENYA NA UKABILA: KWASASA KENYA WANAJIKUTA WAKITAABIKA KUTOKANA NA MFUMO WA WASOMI, WA KUWASABABISHIA UHASAMA WA KIKABILA NA VIFO VYENYE MSONGAMANO.
KWASASA BAADHI VIONGOZI WA KENYA NA RWANDA BILA KUISAHAU LAIBELIA WAKO KATIKA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA.
DRC: UKABILA UMETAWALA NCHI YA KONGO NA KUISABABISHIA HASARA YA VIFO ZAIDI YA WATU MILIONI 4, (VIFO VYA WATU 4,000,000).
LIBYA KATIKA VITA VYA KIKABILA
LIBYA: KWASASA TUNASHUHUDIA VITA VYA KIKABILA BAINA YA UKOO WA WAASI NA BAINA YA UKOO WA GHADAFI. ZAIDI YA WATU ELFU MBILI WAMEISHA KUFA
( 2,000 WAMESHA KUFA).
VITA NI VINGI SANA VYENYE KUNGAMIZA.
VITA VYA KIDINI: UKITAKA KUJUA VITA VYA KIDINI, TUNA MFANO NDANI YA NIGERIA, PALESTINA NA ISRAEL, SPAIN, CHINA, INDIA, IRAQ, IRAN, BAHRAIN, CHECHENIA, BOSNIA, IVORY COST……………….WATU ZAIDI WANAENDELEA KUFA.
VITA VYA MALI:
KWASASA NCHI TAJIRI ZINAHITAJI KUJIIMARISHA KIUCHUMI KUPITIA MIGONGO YA NCHI ZENYE RASILI MALI(MADINI, MAFUTA, PAMBA, KOKOA, ALIMASI, CHUMA, KOPA……N.K). MATAIFA HAYO NDIO YENYE MICHONGO NA UJANJA WA KUMILIKI UCHUMI KUPITIA NJIA YA MAELEWANO. MAELEWANO YANATOKANA NA MASHARITI YENYE KULINDA MASLAHI YA KILA UPANDE, NA UNAPOKWENDA KINYUME UTAJIKUTA UKIPEWA SABABU YA KUACHIA NGAZI YA MADARAKA AU KUPEWA ADHABU YA KIFO.
SADAMU HUSEIN
VIUNGOZI WENGI DUNIANI WANAONDOKA MADARAKANI KWA KASHFA YA DHULMA, UFISADI NA MARANYINGI ADHABU YA KIFO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment