Dini ni mfumo wa maishani

Dini ni mfumo wa maishani

Wednesday, August 4, 2010

JE, MWISHO WA DUNIA NI 2012?


Unajua inakuwa ngumu sana kwa mtu mwenye akili timamu kuamini mambo hayana ushahidi wa kutosha.
Naungana na wadau waliotangulia kwa kupinga kuwa mwaka 2012 ni mwisho wa dunia.
Nakumbuka hii mada imewashtua wengi sana lakini ukifuatilia kwa makini ni watu wachache ambao wamekaa na kutunga uongo wao eti 2012 ni mwisho wa dunia.

Hakuna mwisho wa dunia what I know ni kwamba mwisho wa dunia ni kifo cha mtu binafsi,pale unapokufa basi ndo mwisho wako wa kuishi hapa duniani na si vinginevo.
Basi hao wanaojiita wanasayansi watoe maelezo na ushahidi wa kutosha

No comments:

Post a Comment